Badilisha Kituo

Futa akaunti · Delete account

Futa akaunti yako

Unaweza kufuta akaunti yako ya Badilisha Kituo na taarifa zote zilizohifadhiwa. Delete your Badilisha Kituo account and the personal data behind it.

Njia ya haraka: ndani ya app The fast route: in the app

Kama bado unaweza kuingia kwenye app, futa akaunti wewe mwenyewe — inafutwa papo hapo, hakuna kusubiri.

  1. Fungua app ya BadilishaKituo
  2. Nenda Akaunti (Account)
  3. Chagua Futa akaunti (Delete account)
  4. Thibitisha kwa nenosiri lako au namba yako ya simu

If you can still sign in, delete the account yourself from Account → Delete account. It is immediate, and nobody has to approve it.

Kitakachofutwa Deleted

  • Wasifu wako, picha yako na taarifa zako za kazi
  • Maombi yote ya kubadilisha kituo uliyoweka
  • Mechi zako na mazungumzo yaliyomo
  • Nyaraka zozote za uthibitisho ulizopakia
  • Mipangilio yako na maeneo uliyohifadhi

Kitakachobaki Kept

  • Ripoti ambazo wanachama wengine waliwasilisha kuhusu akaunti yako — bila jina lako, ili tabia hiyo itambulike tena
  • Kumbukumbu ambazo sheria inatutaka kuhifadhi

Soma zaidi kwenye Sera ya Faragha. More detail in the Privacy Policy.

Huwezi kuingia kwenye app? Cannot sign in?

Jaza fomu hii. Tutathibitisha kuwa namba ni yako kabla ya kufuta chochote — hatuwezi kufuta akaunti ya mtu kwa kujaza namba yake tu.

Fill this in and we will verify the number is yours before anything is erased. A form alone cannot delete somebody else's account.

Hatutumii namba yako kwa kitu kingine chochote. The number is used only to verify the request, and nothing else.